Ads

Ads

HAPPY HOLIDAYS TO ALL OUR CUSTOMERS

Share on Google Plus

About Top Maasai Boma

Top Maasai Boma ni Bar ya kisasa yenye mandhari ya utulivu na huduma nzuri zinazozidi matarajio ya mteja. Bar ipo wazi kilasiku kuanzia saa 12:00 asubuhi kwa wale wateja wetu wanaopendelea kifungua kinywa kama vile supu, mchemsho na nyinginezo. Super Bar yetu yaani upande wa vinywaji, ipo wazi kuanzia saa 06:00 mchana ila vinywaji laini vinapatikana kuanzia asubuhi. Karibuni Sana..
    Blogger Comment

1 comments:

  1. Asante sanaa nasi twawatakia Christmas na mwaka mpya yenye amani na upendo na utulivu.....

    ReplyDelete